Mangole Valles Michael
JF-Expert Member
- May 30, 2021
- 338
- 683
ELIMU BORA ITAKAYO FANYA MAPINDUZI YA KIUCHUMI TANZANIA.
Neno elimi lina dhana pana sana ki maana, wapo walio sema elimu ni dira, elimu ni ufunguo wa maisha n.k
Kwa maana hiyo basi elimu ni mchakato ambao maarifa, tabia, mila na maadili ya jamii moja hupitishwa kwa ajiri ya kizazi kijacho.
Kumekua na hoja ikidai elimu ya Tanzania kushindwa kukidhi mahitaji ya Sasa katika nyanja tofauti tofauti nchini.
Hii hutokana na sababu tofauti tofauti anazo kutana nazo mwanafunzi au muhitimu ikiwa ni pamoja na mwanafunzi kushindwa kujua hatima ya ndoto yake ki elimu tangu awali na kwa muhitimu kushindwa kujiajiri pale tu anapo hitimu chuo.
Historia ya elimu ya Tanzania:
Mwaka 1961 tanzania ilirithi mfumo wa elimu wa kibaguzi kutoka kwa mkoloni ambapo kulikua na shule za Aina tatu.
1:Shule za watanganyika
2: shule za waasia
3: shule za waingereza.
Mwaka 1962-1966 kulitokea mabadiriko makubwa ktk mfumo wa elimu.
Mwaka 1961-1964 kulifanyika mabadiriko ya kimfumo wa kielimu kutoka kwa mkoloni kuelekea kipindi Cha uhuru. Katika kipindi hiki mkazo ulitiliwa katika kupanua elimu ya msingi pamoja na sekondari.
Elimu ya msingi ilipanuliwa hasa katika darasa la nne hadi la sita (district schools) lengo lilikua ni kujenga shule nyingi za middle school madarasa ya tano Hadi nane.
Na mwaka 1964 kulifanyika mapunguzo ya elimu ya msingi kutoka darasa la nane kuishia la saba ambayo tunatumia hadi leo.
Ambapo pia elimu ya ufundi ilisimama na kukawa na shule tatu dar es alaam, ifunda na moshi, elimu hii haikutiliwa mkazo katika mpango huu,
Ikumbukwe kua tuliendelea na mitaala ile ile ya elimu iliyo achwa na mkoloni ambayo ililenga mahitaji yao ikiwa ni pamoja na kuwafanya wasomi wa kiafrica kuwa tegemezi.
Kutokana na historia fupi hapo juu ya elimu yetu ni dhahiri elimu yetu haijitosherezi kwa mahitaji ya sasa, kitaaruma,kilimo ufugaji na biashara.
NINI KIFANYIKE?
Tanzania tunahitaji elimu itakayo chugulia mahitaji ya watanzania na Pamoja na dunia.
Hapa tunapaswa kufanya mabadiriko ya kielimu ambapo tutafanya uchambuzi baadhi mitaala inayo kidhi mahitaji tukaendelea nayo, iliyo pitwa tukaifuta na kuongeza mitaala mipya itakayo tufaa.
Tuwe na mitaala ambayo itaendana na hali halisi ya maisha ya mtanzania pamoja na uhitaji wa dunia; kimaarifa(sayansi na tekinolojia), kilimo, ufugaji, afya na biashara.
Katika kilimo
i/ itakayo tupa mwongozo na kutusaidia kuzifufua na kuziendeleza mbegu Bora za mazao na mifungo ambazo zinakwenda kupotea kutokana na kukosa maarifa sahihi ya kuziendeleza, katika sekta ya kilimo.
ii/ itakayo elimisha namna gani ya kutumia rasilimali zetu katika kukuza uchumi kwa maandishi na vitendo(field)mfano: katika kilimo mwanafunzi ajifunze mazao yanayo limwa kila kanda kwa kutumia vyanzo vyetu vya maji, maziwa, mito na mbwawa.
Asanteni Sana kwa kusoma makala hii na karibu kwa maoni yako.

Upvote
1