SoC02 Elimu bora na bora Elimu

SoC02 Elimu bora na bora Elimu

Stories of Change - 2022 Competition

Michiko

New Member
Joined
Sep 13, 2022
Posts
1
Reaction score
1
Elimu ni maarifa mtu anayo yapata kutoka kwa wazazi, walimu na jamii inayo mzunguka.Elimu huongeza maarifa na kuondoa ujinga. Sasa kuna Elimu bora na bora Elimu.

Watu wengi husema Elimu bure sio Elimu bora, Elimu ya gharama ndio Elimu bora. Je ni kweli? Wazazi wengine watumia gharama kubwa kuwapatia watoto wao Elimu. Wakisema Elimu ya bure haina manufaa. Wanasahau kuwa kuna wakati vipato vinashuka au wao kupoteza uwezo wa kifedha, mtoto ndio anathirika. Wengine hawana hivyo vipato vikubwa ila wanaingia kwenye mashindano.

Soko la ajira haliangalii gharama za Elimu uliyotumia. Wazazi wanajikuta katika wakati ngumu.Leo tunaitupia lawama serikali, lakini wazazi pia wanahusika sana.

Wazazi na serikali kwa ushirikiano wahusike kuboresha miiundo mbinu ya shule za serikali, ili wazazi wasi gharimike sana kuwapatia watoto wao Elimu.

images.jpeg
images (2).jpeg

Mwandishi:donkanji
 
Upvote 1
Back
Top Bottom