Elimu bora nchini

na ifikapo 2015 hayo madawati mazima yote yatakuwa yamekwiha haribika, wote watakuwa wanakaa chini.....better life for all tanzanians
 
God Bless Tanzania! Nakupenda Tanzania!:redfaces:
 
Tuna safari ndefu ya kwenda ili kufikia lengo la elimu bora kwa kila mtoto.
Hao tunaowaona hawapati elimu bora, wapo kwenye mazoezi ya kupiga desa kwa ajili ya mitihani ya nekta
 
Hebu ngoja niangalie mtoto wa waziri mkuu ambaye anasifika sana kwa kuishi maisha ya mtanzania wa hali ya chini kama yuko kwenye darasa hili
 
Hilo darasa mbona limeendelea sana na linaweza kuwa la mfano,kama ukitembelea kijijini kwetu Nusa ndipo utaweza kuona darasa halisi la mpiga kura wa CCM.Nikipata picha zake nitakuwekea.
 

Mnamlipa Downs bilioni 185, IPTL kila siku milioni 55, madini wazungu wanajichukulia kama vile mali yao wanawapa commission watu wa serikalini, halafu SERIKALI inaenda UN kujisifia kuhusu elimu, aibu kubwa hii sababu hela tunayo ya kuondokana na haya mateso kwa watoto.
 
halafu mnalipa deni la dowans bilioni 200, kweli Tanzania mna kazi nzito
 
Nahisi pia huyo mwalimu wao naye amekaa chini sema hakutaka aonekane masikini:A S 39:

na mwalimu wao anakaa kwenye nyumba ya mbavu za mbwa.............
 
Lakini ccm haiwezi kutuletea mabadiliko, lazima tuongoe kabla hata hayo madarasa hayajaezuliwa mabati na kupelekwa kwenye mabanda ya kukunua vyuma chakavu
 
:redfaces: kweli tanzania hakuna usawa wenzenu afya tu wanachekiwa ulaya, spika anajengewa jumba la mamilioni tena lenye swimming pool, dowans wanalipwa alote of shillings but luk at wat they did to our children with our own money, may God help us. poor us ...............
 

Kweli elimu bora kwa kila mtoto wa kitanzania inawezekana. Wenzetu wanafikiria kufanya tafiti za kisayansi kwenye sayari mbalimbali watoto wetu wanasoma wakikaa chini.
 
Have been there once, I must say its painfully experience!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…