Elimu bora Tanganyika itatokana na mambo yafuatayo;
Mishahara bora kwa walimu
Wanafunzi kuwajibika kutetea haki zao za kupata elimu.
Walimu kujisimamia kudai haki yao
Mazingira bora ya ufundishaji
Sera nzuri na imara ya elimu sio leo tusome masomo haya kesho tuyaache mara leo mtaala mpya
TAFAKARI CHUKUA HATUA.