Elimu bure Kwa kila Mdanganyika Mama Samia Suluhu oyeee

Elimu bure Kwa kila Mdanganyika Mama Samia Suluhu oyeee

Jukumu la Mzazi ni Kumlinda mtoto
Kuhakikisha anapata malazi
Anapata chakula
Anapata Elimu
Anapata mavazi

Mzazi anayejielewa hawezi itegemea CCM kumsomeshea mtoto na mtoto kujitambua, sana sana anaweza pewa cheti ila kichwani bure
 
Hii dhambi asipewe Samia.
CCM ndio inapaswa kubeba dhambi hii.
Hakuna uongozi wa Rais yeyote Tanzania hatujawahi kuona vyoo vya shule vya nyasi, shule za nyasi, madawati ya matofali n.k.
Wendawazimu wananunua ndege kwa mabilioni badala ya kutatua mambo ya msingi kwanza. kazi ambayo sekta binafsi walipaswa wafanye serikali inakurupukia.
Kwa ufupi kuanzia Magufuli mpaka Samia wote ni ma ..... Hi .... Ra.
Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete tuwasamehe maana waliongoza kipindi ambacho nchi imetoka kwenye uhuru na wengine waliongoza katika kipindi cha mpito (kigumu)
 
Back
Top Bottom