Hii dhambi asipewe Samia.
CCM ndio inapaswa kubeba dhambi hii.
Hakuna uongozi wa Rais yeyote Tanzania hatujawahi kuona vyoo vya shule vya nyasi, shule za nyasi, madawati ya matofali n.k.
Wendawazimu wananunua ndege kwa mabilioni badala ya kutatua mambo ya msingi kwanza. kazi ambayo sekta binafsi walipaswa wafanye serikali inakurupukia.
Kwa ufupi kuanzia Magufuli mpaka Samia wote ni ma ..... Hi .... Ra.
Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete tuwasamehe maana waliongoza kipindi ambacho nchi imetoka kwenye uhuru na wengine waliongoza katika kipindi cha mpito (kigumu)