Tatizo letu kubwa vijana wa siku hizi ni kuchukuwa statement na kuzifanya facts. Je unajua sasa hivi huyo Jack Ma ameajiri programmers wangapi? sasa kama sio future kwanini anaendelea kuajiri programmers. Kwasababu hawa wanataka sisi tuwe watumiaji tu wa software na sio wabunifu wa sofware. Vilevile ni lazima tuelewe programming sio kitu ni lugha tu inayotumika kueleweka kwenye computer na kutengeneza software. Hiyo ni kama kiswahili huwezi kuandika kitabu cha kiswahili bila kujua lugha lakini haina maana kwamba kwasababu hujui lugha. Kila mtu ana ubunifu wake na kwasababu watoto wetu hawajui sofware kesho na kesho kutwa hawawezi kuwa na idea ya WhatAPP au Microsoft na ndiyo maana mkurugenzi wa Apple alisema watoto wajifunze sofware. Pili Marekani inaizidi China ni kwasababu ya ubunifu wa Technologia tu ukiangalia kwenye soko la hisa kampuni kubwa sana ni Google, Apple, Facebook, Microsoft, Oracle.... HP, IBM, Dell, zote hizi ni technologia tu hakuwa kampuni hata mmoja ya sofware kubwa kutoka China. Ali Baba ya Jack Ma ni kama Amazon au ebay lakini ukiangalia advantage ya US ni technologia na hasa ni utamaduni wa ubunifu. Lakini huwezi kuweka ubunifu wako bila kujua lugha na lugha ndiyo programming! umenipata hapo. Na mimi nimewapa kampuni hapo ambazo zitakuwepo kwa miaka 40 au zaidi ijayo. Hivi unajua thamani ya kampuni leo hii kwenye dollar Boieng 154.25B, Microsoft 648B, Google $709 B, Amazon 533B angalia hapo na kuna kampuni kubwa za ndege mbili tu dunia nzima Boeing na Airbus . Hivyo usidanganyike sisi huku tunajua 10 years to come nawashauri tu
Cha mwisho ni lazima niwaeleze tu kwamba nchi yetu ni tofauti na solution zetu ni tofauti pia mfano umri wa kati wa USA ni 38 years na Tanzania ni 18 years. Tanzania mfano MPESA ni muhimu kuliko bank kwasababu solution zetu ni tofauti. tujiulize mfano kwenye Afya huu mfumo wa kuwa na Muhimbili moja mtu akiwa kijijini Mtwara anaumwa sana inakuwaje?? au Kigoma inakuwaje? hivyo ni lazima wananchi wetu wawe na capacity na technology ili waweze ku program sofware ambazo zina solution zetu huwezi kufikiria kimarekani ukaja na MPESA mfano lakini je MPESA sio sofware?. Hizi kampuni na hizo sofware ni muhimu kwasababu hujifuzi hizo sofware tu lakini hizi ni kampuni ambazo zinatawala lugha za computer