kuwa na vyuo vingi vya ufundi kuliko shule nyingi za elimu ya nadharia.wahitimu wengi leo wana shahada za elimu ya juu lakini hawawezi kufanya kitu chochote mtaani,kweli elimu ya kibongo haiwaandai wataalam kujiajiri na kupambana na changamoto za kijamii