Elimu ina umuhimu

Iamwhoiamm

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
503
Reaction score
887
Tusidanganyane bila elimu ata kama unahitaji kuwa mfanyabiashara mkubwa lazima uwe na elimu ata kama wewe CEO lazima assistant wako awe na elimu.

Most of the time mjini hapa ajira ni connection ni watu wachache sana ambao wanapata ajira Kwa bahati zao. Pia CHUKI ni nyingi UKIWA KWENYE mipango yako LAKINI MWISHO WA SIKU ELIMU NI MUHIMU kwa sababu inaweza kukurusha sehemu moja kwenda nyingine kwa kitu ambacho una ubobezi nacho.

Kwa iyo ni vizuri zaidi kutumia elimu uliyokuwa nayo kuifanya biashara ata MO DEWJI KASOMA TENA BACHELOR DEGREE, MENGI KASOMA PIA, ZUCKERBERG KASOMA PIA, KWAIYO BILA ELIMU UWEZI KUFANYA BIASHARA KUBWA ILA UKIWA NA ELIMU UNAWEZA FANYA BIASHARA KUBWA UNLESS OTHERWISE UWE NA WATU CHINI YAKO WANA ELIMU WEWE UBAKI KAMA CEO.

I'm signing off.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…