Elimu/Insights kuhusu Engine za Magari

Elimu/Insights kuhusu Engine za Magari

FUJISTU

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
261
Reaction score
93
Habari zenu wakuu.
Kuna jambo ambalo ningependa nilifahamu ambalo limekuwa likiongelewa mara nyingi kwenye replies za thread tofauti tofauti za ushauri ambalo nina uhakika hata na wengine pia wangependa kulifahamu, nalo ni kuhusu swala la Engine za magari.

Kumekuwa na mawazo mengi yanayochangiwa pale mtu anapouliza kuhusu suala zima la ubora pia imekuwa tukikutana na majibu tofauti tofauti ambayo yamekaa kitechnical zaidi, with keywords like 1.5L 2L, 3L , 1NZ, 1ZZ, yakijumuishwa na details nyingine mfano reply "chukua yenye engine ya 2.0L na iwe ya diesel them utakuwa umepata engine bora zaidi kwa gari yako",

Hivyo kwa wale wenye uelewa ningeomba watupe insights katika swala hili kwa upana kidogo, how hizo Numbers works na urahisi wa kuelewa pamoja na how each one of those numbers zita affect performance/maintenance/fuel consumption ya Engine husika.

Ahsanteni
J.B
 
Back
Top Bottom