Utakuta kijana kamaliza chuo halafu ajira Hana na jamii inatambua kua yeye Ni msomi hivo anaona Ni kijidhalilisha kufanya shughuli za kitaa za tofaut na taaluma yake ili apate pesa
Mwisho wa siku anajikuta life linakua gumu Zaid ya hata wasioosoma,me niwaase ndugu zangu tusichague shughuli ya kufanya kwa kigezo Cha usomina wakat ajira huna pesa huna yaan STOMACH empty POCKET empty