GODSON KITOMARY
Member
- Jun 23, 2020
- 12
- 23
EDUCATION IS KEY OF LIFE
______________
Godson Kitomary
Tunapozungumzia swala la "ELIMU" Kuwa "UFUNGUO" Wa maisha tunazungumza kijana kuweza kujitegemea mwenyewe na kusimama katika harakati za kupata "MAFANIKIO"
Tunaweza kukaa na kulaumu "SERIKALI" Kuwa "ELIMU" Wanayotupatia haiendani na mazangira yetu au haisadifu yale ambayo tunayoyasoma katika mazingira halisi huku tukisahau kuwa babu zetu ndiyo walikwamisha "EDUCATION FOR SELF RELIANCE" I mean elimu ya ujamaa na kujitegemea ambayo ilikuwa inajenga vijana "WAZALENDO" Na wenye ujuzi wa "KUJITEGEMEA"
Lakini siku hizi unamkuta kijana amesoma na kukariri tu ili apate kujibu "MTIHANI WA MWISHO" Kama unabisha embu jaribu kidogo kukumbuka uliyosoma standard 7, form 4 au form 6.
"VIJANA" Pasipo kupambana tukajitegemea kupitia "ELIMU" Tunayopata hatutaweza kufanikiwa tutabaki tu kuimba elimu ni "UFUNGUO" wa maisha ambayo hatuyaoni.
Halafu muda mwingine utamkuta kijana yupo serious anakula "BATA" Mpaka "KUKU" anaona "WIVU" Kwa hela ya "SERIKALI" Ambayo atakuja kuilipa atakapoajiriwa etii na wakati hizo ajira zinaitaji uzoefu kuanzia "MIAKA 3" Na yeye ndiyo kwanza "DEGREE" Yake haina miezi mitatu na Bado anachagua "KAZI" Balaa na kutaka Yenye "MSHAHARA" Mkubwa wakati yeye ameshindwa kutengeneza hata inayomlipa "ELFU KUMI" Cheeefu!!!
Embu "VIJANA" Wenzangu tuamkeni tufanye kazi zozote usiwahofie "MASELA" Watasema nin?,"MASHOSTI" Watanichukuliaje au mimi na "UZURI WANGU" Kweli nikauze "MAMA NTILIE" Achana na mawazo "MGANDO" Kama hayo ambayo hayajengi "MAISHA YAKO"
Tunaposema "ELIMU" Ni "UFUNGUO" Wa "MAISHA":-
1)Tunamaanisha kuona "MATATIZO" Ya watu na kuyabadilisha kuwa "FURSA",kutatua na kuyapatia "MAJIBU" Matatizo "SUGU" Yanayoikabili "JAMII YAKO"
2)Tunaaamisha kuona mlima "KILIMANJARO" Kama tambarare yaaani "MATATIZO" Sio nukta ni "DARAJA" Lako la kukupeleka kwenye "MAFANIKIO" Kupitia "ELIMU" uliyonayo
Unajua "ELIMU" ndiyo "MSINGI" Wa maswala yote kwani hata wale waliofanikiwa ambao hawana "ELIMU" Kampuni zao zinaendeshwa na "NANI?" Kama sio "WASOMI"
3)Tunamaanisha "ELIMU" Tuliyoipata tufungue milango ya "AJIRA" Kwa wengine.utajiuliza kivipi? Kwani walioshindwa kupambania "MALENGO" Yao sasa hivi si wanatimiza ya "WENGINE" bhasi ukiwaajiri hata "YA KWAKO" Watayatimiza tu
4)Tunaamaanisha "ELIMU" Itakusaidia kuona "MWANZO" Mpya wa "MAISHA" Na sio Kuona "MAISHA MAGUMU"

Upvote
1