Udhu ni miongoni ma masharti ya kukubaliwa swala yako hivyo ni lazima kila unapotaka kuswali hakikisha umeshika udhu.
Unaweza ukatunza udhu uliochukuwa swala ya ya Adhuhuri ukautumia kuswalia swala ya alasiri ikiwa mambo yafuatayo hayajakutokea baina ya interval ya swala na swala, yani mambo yanayo batilisha /kufuta/kuondoa udhu.
Mfano, kujamba, kujisaidia haja kubwa au ndogo, kutokwa na manii, kumshika au kushikwa na mwanamke kwa matamanio, kupitiwa na usingizi, n.k.
Pia tambua kuwa unapokosa maji unaweza ukatumia mchanga ulio safi (Atayyamum) ambapo utakusanya mchanga safi kisha utaupiga na viganja vyko 2 utajipangusa mikononi na miguuni hakikisha mchanga una vumbi na sio tope.
Kama hkuna maji wala mchanga ,tafuta jiwe(hajar) ukikosa jiwe tafuta majani ya mti,(shajar) ilimradi hakuna sabb ya kuswali bila udhu. Kwa hio kwa jiwe na majani utafuata formula ya kutia udhu kwa mchanga.Swadaqta, kuna Swali shk kama sehemu hiyo ulipo hakuna maji wala mchanga kabisa inakuaje katika kuchukua udhu??!!
Kama hkuna maji wala mchanga ,tafuta jiwe(hajar) ukikosa jiwe tafuta majani ya mti,(shajar) ilimradi hakuna sabb ya kuswali bila udhu. Kwa hio kwa jiwe na majani utafuata formula ya kutia udhu kwa mchanga.
Allahu Áalam.
Umetakiwa utafute jiwe/mchanga safi, kama ambavyo umetakiwa kutafuta maji safi na salama,uislamu haujaweka sheria za kumdhuru mti.Udhu ni ibada ya mwili na roho (nia yako ni ibada ya kiroho)Udhu ni kujitoharisha kimwili na tohara inafaa hasa ukitumia maji safi, vipi unapotumia jiwe au majani unapataje hiyo tohara ikizingatiwa kwamba vitu hivyo jiwe/majani ni vitu vilivyokuwa exposed kwenye vumbi, takataka na hata vinyesi vya wanyama na ndege, katika mazingira hayo udhu inakuaje unaitwa udhu ??!!
Umetakiwa utafute jiwe/mchanga safi, kama ambavyo umetakiwa kutafuta maji safi na salama,uislamu haujaweka sheria za kumdhuru mti.Udhu ni ibada ya mwili na roho (nia yako ni ibada ya kiroho)
Kuna ibada zinahusisha mwili na roho (imani) mfano, swala, funga, hijja, udhu, tendo la ndoa, jihad n.k.Udhu ni ibada ya mwili na roho ?!!--- kama ndiyo hivyo na swala nayo ni kitu gani !??.
Kuhusu kutafuta jiwe au mchanga safi, ni katika mazingira gani upate jiwe na mchanga safi ??!
Nadadisi tu ili nipate kujua kwani fikra zangu zinaona ugumu katika jambo hilo.
Na hata ukiwa safarini kwenye basi na mda wa swala umefika unatakiwa utumie siti uliokaa kushik udhu kwa kupga kwa viganja vyako viwili kweny siti na ujipanguse maene o yalio elekezwa, usoni, mikononi na miguuni,.
Allahu Âalamu