Habari yako Gaijin.....
Well said...
Mwanaume ni kiongozi....na kiongozi anapaswa kuwa juu....kuona mbali zaidi ya anaowaongoza......
kilimasera umri nimemzidi miaka miwili yeye ana miaka 28 na mie 30 yrs
wait a minute!!!! anataka akafanye PHD wewe bado na form six yako???? r u serious u wanna marry this lady?? unachobabaika ni yeye kukujali sana sasa hivi???have u pictured ur self with her akiwa anaitwa DR, so and so and u??? not even a degree???kama unabusiness ya uhakika kuweza kumzidi yeye financially pamoja na hizo shule zake haina shida, lakini kama hela zenyewe ni za kuzichungulia sikushauri!!anaweza yeye asiwe na tatizo lolote lakini wewe utaanza kupata inferioty hapo ndio shida itakapoanza maana kila atakochosema, atakachofanya wewe akili yako itakuwa inawaza amefanya hivyo bz yeye msomi n ur not! kama umedhamiria jitutumue mwanaume hata kadegree ka kuleta heshima kwa watotoshule nitapiga kimtindo kwa sababu dada mwenyewe huwa ananimbia kwa mbali ..anajua nitachukia sipendi kupiga shule zaidi ya business ila yeye kila mara ananimbia anataka akafanye Ph D Germany..Ndicho kisa cha kuniganda mpaka basi..