Elimu Kichina

Elimu Kichina

B101

Member
Joined
Oct 30, 2008
Posts
16
Reaction score
1
Kama elimu yako sio ya mchina[feki], badili sentensi hii kwa kiingereza tuanze kucheka..."BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI?"
 
Kama elimu yako sio ya mchina[feki], badili sentensi hii kwa kiingereza tuanze kucheka..."BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI?"

Ha ha haaaa.....Aliyekwambia kipimo cha usomi usio `feki` ni ufahamu wa lugha ya Kiingereza nani?..........
Daddy,what is my serial number in the list of your children?.Utajiju...kwi kwi kwi kwiiiiii
 
Dad, wats my number in ur offspring list? Sidhani kama bado haujapata jibu, unajua kuna njia lukuki za kuelezea dhana moja cha msingi ni kufikisha ujumbe, au mnasemaje weledi wa lugha? Halafu hebu achana na hiyo kasumba ya kuwa dhihaki wachina, nao ni binadamu wanastahili stahiki na mrua mkuu kama viumbe wengine wa rabuka.
 
Lol.. nilijua tu ntavunjika mbavu baada ya hizo reply japo hata mwenyewe cjui niljifalague vipi kuiweka iyo sentensi sawa kwa lugha ya kighaibuni jamani! Ebwana Burn my bad mkuu kama uko china ila huku Bongo kuna wimbi kubwa la vitu feki kutokea uchina..hivyo imekuwa ni kawaida kufananisha kila kitu feki kama ni mali ya Wachina na kwa taarifa yako siku hizi Bongo kuna mpaka wasichana tunawaita wachina..lakini si kwa mantiki ya kuwa wana uraia ama utaifa wa china, la hasha ila ni kwa sababu tu wamezidisha uongo mpaka wamejikuta nje ya ukweli kama alivyosema kaka Ngosha Fid Q! Hata hivyo si lengo ya hiyo post kuwadhalilisha am kuwakebehi wachina kwa namna yoyote ile mkuu, it was simply a joke nuthin serious!
 
Back
Top Bottom