Elimu kidogo ya Figo!

Hapo naona #9 inanihusu kabisa aiseeee....[emoji25] [emoji25] [emoji25]
 
Hiyo #1 inanihusu sana kama hapa nimekaa mkojo umenibana ila naona uvivu kuinuka .
 
dr nikikojoa mkojo haushi Basra ya muda nikisuma unaeeza toka tena kikombe cha kahwa au nusu yake PIA NIKIMLIZA KUKOJOA MATONE UBAKIA NA UCHAFUA BOKSA UMRI 40yrs
 
PIA KUNA MDAA NAWEZA KUKAA NA MKOJO MDA MREFU WAKTI MEINGINE AUVUMILIKI SANA UWEZI HATA KUVUMILIA AU UKIFIKA CHOONI ULIKUWA KAWAIDA HPO UWEZ TENA KUVUMILIA BILA KUKOJOA
 
dr nikikojoa mkojo haushi Basra ya muda nikisuma unaeeza toka tena kikombe cha kahwa au nusu yake PIA NIKIMLIZA KUKOJOA MATONE UBAKIA NA UCHAFUA BOKSA UMRI 40yrs
Ningekushauri ufanye haraka ukamuone Daktari mhusika.
 
namba moja inanihusu hasa wakati alfajili unakuta napata uvivu kuamka kwenda toi
 
No. 1 na 2 zina athari kwa watu wa majiji kama Dar kutokana na foleni barabarani.

Aidha mtu usinywe maji kabla ya kuanza safari; au ukinywa maji uwe tayari kubana mkojo hadi ufike mwisho wa safari!
 
kumbe najitahidi ku maintain hamna inayonihusu
 
dr nikikojoa mkojo haushi Basra ya muda nikisuma unaeeza toka tena kikombe cha kahwa au nusu yake PIA NIKIMLIZA KUKOJOA MATONE UBAKIA NA UCHAFUA BOKSA UMRI 40yrs
Nenda hspl mapema ndugu, sikitaki kukutisha lkn hzo dalili zinafanana kwa kiasi kikubwa na dalili za tezi dume na haswa ukiangalia umri wako bt dalili ni dalili tu mpaka utakapo thibitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…