Elimu kuhusu maswala ya Hisa tafadhali

Elimu kuhusu maswala ya Hisa tafadhali

panaldo

Member
Joined
Oct 13, 2014
Posts
6
Reaction score
1
Ndugu wana jukwaa nimekuwa nikisikia neno HISA katika biashara ila bado sijabaatika kuipata Elimu hii..Tafadhali mwenye uelewa wa Hisa naomba anisaidie
 
Hisa ni vipande vinachouzwa kwa mafungu vikiwa vinaonyesha umiliki katika kampuni.
Hivyo vipande vinaweza vikauzwa kwa mara ya kwanza kabla havijafika kaunta ya soko km vile DSE kwa bei fixed iliyopangwa na kampuni .ktk hatua iyo huwa inaitwa Initial Public Offering (IPO) . Na zikifika sokoni huko Ndiyo kunakuwa na bei zinazobadiribadirika. Ukitaka kununua hisa kwa makampuni yaliyosajiliwa DSE unatafuta broker ambao wanakupa form unaijaza na unanunua hisa unapewer na certificates of registration ya DSE.
 
Unafaidika Vipi?
Kuna makampuni hugawa gawio (dividend) kwa wanahisa, na makampuni mengine hawana. Hivyo kabla ya kununua omba ushauri kwa brokers. Mf wa brokers ni km vile orbits securities, rasilimali, pitia web ya www.DSE. con km sikosei. Wsmeweka list ya brokers.
 
Unafaidika Vipi?
Kuna makampuni hugawa gawio (dividend) kwa wanahisa, na makampuni mengine hawana. Hivyo kabla ya kununua omba ushauri kwa brokers. Mf wa brokers ni km vile orbits securities, rasilimali, pitia web ya www.DSE. con km sikosei. Wsmeweka list ya brokers.

Mkuu funguka zaidi,binafsi nahitaji sana elimu ya shares(preference or iquity shares)kivitendo zaidi.
 
Kabla hujanunua unatakiwa ujue km ni prefered or common stock/shares.
PS ni ile ammount ya dividend iko fixed whether shares zimeshuka au zmepanda, CS inakuwa inaenda kulingana na profit made km imeshuka divindend inashuka & ikipanda nayo inapanda.
Km comp ikifirisika prefered wanalipwa 1st wkt CS inategemea.
Kibingo nyingi nimeona ni prefered.
 
Back
Top Bottom