asante xana 2mekupata na jins gan 2fanye
unaweza uka una research guidelines, ukasoma vitabu au articles zote zinazo endandana na study yako na ukawa na supervisor lakini bado ukatoka patupu., Sio Ma supervisor wote wako wapo competent kwenye research wapo wazuri na wapo wali shalo tu.. tu kuwa mtafiti mzuri inategeea sana umesimamiwa na nani katika tafiti yako ukipata supervisor mzuri na mwenye moyo wa kumuelekeza mwanafunzi utakuwa mzuri na badae utakuja kuwa mwalimu mzuri ukimpata wa kawaida utakuwa hivyo hivyo kawaida..asante xana 2mekupata na jins gan 2fanye
unaweza uka una research guidelines, ukasoma vitabu au articles zote zinazo endandana na study yako na ukawa na supervisor lakini bado ukatoka patupu., Sio Ma supervisor wote wako wapo competent kwenye research wapo wazuri na wapo wali shalo tu.. tu kuwa mtafiti mzuri inategeea sana umesimamiwa na nani katika tafiti yako ukipata supervisor mzuri na mwenye moyo wa kumuelekeza mwanafunzi utakuwa mzuri na badae utakuja kuwa mwalimu mzuri ukimpata wa kawaida utakuwa hivyo hivyo kawaida..
NOTE; tufanye huu hi ndo guidelines ya chuo chenu
- Background of the study
- Statemement of the problem
- Rationale of the study
- Objective of the study
- specific question
- CHAPTER TWO
- Key terms
- theories
- theory of the study
- Empirical literature review
- information Gap
- Conceptual frame work
- CHAPTER THREE
- Research design
- sampling procedure
- Data type
- Data collection tools and methods
- data analysis
haya mkuu anza kazi sasa huo mfano tuu wa hizo procedure za research
Kitu ambacho sija penda ni mkuu alivyosema mtu hawezi kuja kupata mawazo Jf siamini kitu kama hicho humu kuna watu tofauti wazuri na wabaya katika nyanja zote.. kama mna tatizo sio mbaya mkileta watu wakawapa ushauri wapo watakao kuponda na kukuelekeza lazima uwe mvumilvu kwa ote katika maisha uwezi kpendwa au kukubalia na wote
AKILI ZA KAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO
Habar zenu wadau
Mimi ni mwanafunzi nasoma Zanzibar University, mwaka wa pili 1[SUP]st[/SUP] degree katika combination ya biology chemistry (EDUCATION) na hiki kipindi tulichonacho tumekabiliwa na ufanyaji wa research hivyo naomba msaada wenu kuhusiana na procedures zote za kufuata kuanzia tangu kwenye uchaguz wa somo na topic (ni somo gan kat ya hayo niliyoyataja ni rahisi katika researh na topic gan ambayo ni very intrested ) pamoja na yale yote yanayohusika na shughuli hii.
Ahsanteni.
TOGETHER WE CAN
Najua kabisa kuwa hiyo siyo guidelines ya chuo chao ndo mana kama umesoma vizuri hapo juu nikawa nisema kwa mfano hiyo nd njia ya kuandika research je unaweza jua pa kuanzia research yenyewe.. kitu cha muhimu kujua research theory na practical yake ni vitu viwili tofauti unaweza ukapata A theory lakin kwenye practical ukaja lamba kalai.. so cha kumu omba mungu dogo je upate mwalimu aliye nondo kwenye tafit amini utaipenda mpaka basi lakini bahati mbaya ukija pata mwalimu wa kusema wee nenda katafute material utatafuta material mpaka utachoka mwalimu mzuri ni yule alie tayar kumu onyesha njia ya kupita ,mwanafunzi wakehongera kutaka kujua ma ya utafiti
kumbuka guideline Zipo tofauti kutokana na chuo pia kutoka na program of study, pia tofauti tokana na aina ya research eg action reaearch ni tofauti kabisa na reaerch za kawaida.
pia ndugu jitahid uandae title iyotokana na interest yako, ila kwa masomo hayo biology inauwanja mpana,
pia research unayofanya kama sikosei itakuwa Educational research, so educational research haipo limited ktk masomo pekee unaweza tafuta kwenye managment, psychology, curriculum, foundation of education, etc
ni hayo tu ndugu, kama unaswali uliza.