elimu kuingiliwa na siasa,mtavuna mlichokipanga

elimu kuingiliwa na siasa,mtavuna mlichokipanga

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
313
Reaction score
40
wizara ya elimu mtavuna mlicho panda,mwezi uliopita mlizifunga shule zenu sasa chakushangaza mmetoa ratiba za mock form two ambayo inaanza tar 17,ambayo watahiniwa wataijua shule zikifunguliwa.hivi mnatupeleka wapi nyie serikali,hapohapo kunavyuo vinakuja kufanya field mf shule niliyopo ina form 1 na 2 mitihani ikianza maana yake form one hamna kusoma kutokana na uchache wa madarasa,bado hamjaishia hapo mnataka mtihani wa taifa wa darasa la saba eti walimu wa sekondary ndio wakasimamie,shauriyenu.
 
Siasa ilishaharibu mfumo mzima wa elimu yetu, ndio maana elimu inazidi kushuka kila uchao.
 
Toeni CCM Madarakani haraka. Ni janga la Taifa.
 
Back
Top Bottom