Are you sure kwamba siku hizi watu wanaenda jeshini kuserve nchi? Kuna mapenzi hayo kweli? Na hizo kada nyingine ulizotaja? Unataka kuniambia watu wetu kwa mfano wanaocheza timu za taifa wanacheza kwavile wanalipenda taifa lao au hao madaktari na manesi au walimu wanafanya hivyo kwa mapenzi ya taifa?
Wanaenda kusoma shule za serikali wanaenda kwa kupenda au kwa kukosa kwenda sehemu bora? Unataka kusema huko kwenye shule zisizo bora ndio panapotuunganisha na kutengwa pia za zike shule private ambazo ni bora sio?
Do we have that kind of love now days?
Unataka kujifanya kipofu kuwa utaifa na uzalendo umeshuka na hata umoja wa nchi? Unajifanya kipofu?
Unaishi wapi uko tz kweli? Unajifanya hujui kwamba mapenzi kwa jamii yameshuka watu hawajali tena jamii bali induvidual interests?
Even focus ya viongozi wetu sio 100% kwa wananchi. Hizi shule na hospitali unajua hali zake? Ukweli ni kwamba hatujali jamii zetu wala taifa letu.
Unataka kuniambia our primary focus kwa watu wetu right now ni ukuaji wa jamii zao na taifa? Do we have that devotion?
Ninaposema elimu iliyounganishwa na malengo ya kitaifa kuwafanya watu walipende na kulitumikia taifa lao kuna ubaya gani? Kuwafanya wazalendo watu wetu kuna ubaya gani?
Naomba nikuulize kwanini taifa husomesha watu wake? Kwanini inawapa elimu? Wanawapa elimu ili iwaje? Kama hakuna malengo ya kitaifa yanayoambatana na hiyo elimu? Ni nini wajibu wa mtu kwa taifa lake? Je tunawajibu kwa maisha yetu binafsi na sio yale ya kitaifa? Unajua hii nchi right now inazalisha vijana wa namna gani? Ambao hawana malengo ya kitaifa.
I do believe we need more devotion to our country and we will not succeed without that devotion. Ninaposema serikali ku regulate uchumi ni kutoruhusu ulafi na kujenga mazingira ya usawa na haki.
Do you believe tunaweza kujenga jamii bora watu wakiwa wabinafsi? Tutafika huko tunakotaka kufika na kuondoa umaskini na kulifanya taifa hili lijitegemee kama watu wetu hawajawa aligned na malengo ya kitaifa? Je ikiwa akili zao zikiwa zimetawanyika kwenye ubinafsi tutakuwa na focus kwenye utaifa?
I am not here to make empty argument. Bali kutafuta njia itakayotufanya twende mbele kama taifa hiyo ndio kiu yangu. Anything beneficial i will always accept.
Niambie njia ambayo tunapaswa kupitia kulitoa taifa hapa lilipo kutoka kwenye umaskini, ujinga na maradhi na kulifanya lijitegemee. We need a glory. We need respect.
Give me a way forward to get these things. Give me a plan of action. Tell me! How can we get out of poverty and dishonour.
Niambie tunawezaje kuwafanya watu wetu kuwa more intelligent and more wise so that we can achieve great things in this world and make history. Niambie! If you see there is no problem in this country utakuwa waajabu.
Angalia kwenye vyombo vyetu vya habari. Ni vyombo vinavyo serve induvidual interests na groups interests. You don't see that tumegawanyika, na kugawanyika kwetu ndio kunako tuzuia kwenda mbele? Au huamini kwamba vyombo vya habari vinatakiwa ku serve national interests. Na vinatakiwa kuwa regulated to suit national agenda? Au unataka watoto wetu wakue bila mission yoyote ya kitaifa but pursuing only their selfish interest? Is that the best way to live as society?
Again you attack me with no reason. Sijasema mawazo yangu ni mapya. So I wonder why you attack me.
Sent using
Jamii Forums mobile app
8