ndandawamalenja
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 475
- 353
Hivi hakunaga elimu ya juu kwa mambo ya usalama wa raia? Naona polisi wote wakishamaliza chuo chao cha Moshi wakitaka kusoma zaidi wanasomea vitu vingine kabisa eti Bachelor of Art in History????????