Hivi hakunaga elimu ya juu kwa mambo ya usalama wa raia? Naona polisi wote wakishamaliza chuo chao cha Moshi wakitaka kusoma zaidi wanasomea vitu vingine kabisa eti Bachelor of Art in History????????
Hivi hakunaga elimu
ya juu kwa mambo ya usalama wa raia? Naona polisi wote wakishamaliza
chuo chao cha Moshi wakitaka kusoma zaidi wanasomea vitu vingine kabisa
eti Bachelor of Art in History????????