elimu kwa wakuu wa shule

GREATER THINKER 2B

New Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
4
Reaction score
0
hivi mkuu wa shule akiwa na stashahada alafu walimu wa kawaida wakawa wanamzidi elimu hiyo shule itaenda kweli au dharau zitakuwa nyingi!
 
hivi mkuu wa shule akiwa na stashahada alafu walimu wa kawaida wakawa wanamzidi elimu hiyo shule itaenda kweli au dharau zitakuwa nyingi!

mambo yanaenda sana inategemea na busara zake na culture ya shule aliyoijenga ikiwemo ushirikishwaji wa walimu katika maamuzi bila kubagua pia kuwepo na usawa na uwazi katika kuiendesha shule vinginevyo vice-versa is.......
 
Ukuu si elimu ni uteuzi. Ukiteuliwa na ukawa na busara mambo yanaenda. Mbona rais anaweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…