Elimu kwanza jkt tupa kule

Joined
Aug 3, 2013
Posts
79
Reaction score
6
ndugu zangu kwa hili jambo(intake ya 3 jkt) me naona serikali imebugi tena sanaaaa wajipange maana haiingi akilini inamaana kama wakienda jkt je vyuo vitafungwa kwa first year? Na wale ambao wamesharipoti vyuon kama st agustine na mwenge inakuwaje? Je watarudishiwa pesa zao ama? Me naona kama itakuwa hivo nibora vijana wagome maana itakuwa ni wastage of time,japokuwa mimi nimeshapita jkt lakini cjaona umuhimu wake zaidi ya kupoteza muda.if riots i will be the first person to riot na kama mnaogopa me ndo ntakuwa kiongoz wenu.
Muda mwingine inabidi ku think big. La hasha ww kama unaona jkt ni muhimu kuliko elimu nenda,ila nachukua fursa hii kuwahamasisha vijana kupinga awamu hii ya tatu.
Kwa upande mwingine serikali ye2 inapotea inaongozwa na wa2 ambao hawana future plani wamekalia kugombana na kurumbana bungeni lakini kwenye upande wa maendeleo bado zero.
Nina mengi ya kuongea imeniuma sana hii kitu.kama umeguswa na hili jambo basi ungana nami kusema Noooooo.TOGETHER WE CAN
 
Hawa naona wamedata coz i can see no connection btn tcu n jkt ndo mana wamejikuta wanaachia majina wakat watu wengne washarpot chuoni itabidi asubuhi shukuru kawamba afunguke abt this ishu..
 
Nasema hivi! yangu macho kutazama mwanzo mpaka mwisho wa filamu hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…