Elimu kwanza

Elimu kwanza

MTISHI JUNIOR

New Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Nani alaumiwe matokeo ya kidato cha nne? Kama ni walimu wamelipa wanacholipwa,wanafunzi wamejibu walichofundishwa na walim wao na baraza wamesahihisha na kutoa matokeo kama yalivyotokea . hebu tuangalie chanzo ni nini kwa matokeo haya machafu ambayo hayavutii hata kuyasikia?
 
Back
Top Bottom