AsanteId mpya zimekua nyingi sanaa...
Hao hufundisha shule za waitaji maalum (special needs).....
Kwa kuzingatia Hali ya Sasa ni kama vile una BET
Soma Kwa passion yako sio kuangalia utapata au hutopata ajira......
Kwa hali ya sasa, kila course ina watu wengi waliosomea na wenye sifa za kutosha, sasa vijana wanaulizia fursa za ajira wakidhani course wanazotaka kusoma zina uhaba wa watu,Id mpya zimekua nyingi sanaa...
Hao hufundisha shule za waitaji maalum (special needs).....
Kwa kuzingatia Hali ya Sasa ni kama vile una BET
Soma Kwa passion yako sio kuangalia utapata au hutopata ajira......
FactKwa hali ya sasa, kila course ina watu wengi waliosomea na wenye sifa za kutosha, sasa vijana wanaulizia fursa za ajira wakidhani course wanazotaka kusoma zina uhaba wa watu,
Engineering yenyewe iliyokuwa inakimbiwa na watu, angalia saiv watu wapo bwerere mtaani waliopiga engineering na GPA zao zimesimama wengine wapo garage wengine viwandani...
Point yangu ni kwamba, kwasasa hakuna course/program yenye uhaba wa watu kila kwahiyo mtu asome tu kitu anapenda akijua kabisa atapomaliza msoto uko palepale, unless ana connection yake tayari.
Elimu maalum ina fursa kubwa sana ya ajira pigia mstari neno kubwa mana wanafunzi wenye mahitaji maalumu kama viziwi, vipofu, mabubu ni wengi mnoo.kote private and public schoolsNaombeni mnisaidie wapendwa, Elimu maalum ina fursa ya ajira?
Asante nmekuelewa sanaElimu maalum ina fursa kubwa sana ya ajira pigia mstari neno kubwa mana wanafunzi wenye mahitaji maalumu kama viziwi, vipofu, mabubu ni wengi mnoo.kote private and public schools
Fursa ziko nyingi changamka.Naombeni mnisaidie wapendwa, Elimu maalum ina fursa ya ajira?