Habari.
Naombeni kujuzwa kwa anayejua. kama kuna uwezekano wa kujiunga chuo bila kuwa na cheti cha form four, na kama ipo ni vyuo gani vinavyotoa huduma hiyo?, manake nimeskia tetesi kuwa Kuna uwezekano wa kujiunga kwa kuanza na Foundation..
Ivyo nahitaji kujua kama kuna ukweli.
Ahsanteni