Habarini wana jamii
Matumizi ya mtandao wa intaneti hivi sasa ni makubwa sana hapa nchini, si kwa watu wazima tu bali hata kwa wanafunzi. Hata hivyo wanafunzi wengi kwa maoni yangu huwa wanatumia mitandao sana sana kwa ajili ya burudani, ni mara chache utamkuta mwanafunzi akitumia mitandao kwa ajili ya kujifunzia. Kutumia mitandao kwa ajili ya kupata elimu bila shaka ni jambo lenye heri sana kwani linaweza kumuongezea mwanafunzi uelewa wa yale aliyofundishwa darasani na hata kupandisha viwango vyake vya ufaulu. Sasa basi tufanyeje ili kutengeneza utamaduni wa kujifunza kupitia mitandao kwa vijana wetu.
Suluhu ya changamoto hii imepata jawabu kupitia kwa Mdee Academy. Mdee Academy ni chaneli ya YouTube ambayo inatoa elimu yenye viwango kwa watu wote kwa kufuata muongozo wa mtaala wa elimu ya Tanzania. Kwa sasa Mdee Academy imekuwa ikitoa video zenye mafunzo ya pure mathematics kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha tano na cha sita. Mojawapo ya video ambazo zimekuwa zikirushwa na Mdee Academy ni kama hii hapa
View: https://www.youtube.com/watch?v=CloV8RWZm78&t=154s
Hata hivyo Mdee Academy haijawa na umaarufu wa kutosha kuweza kukidhi malengo yake ya mageuzi ya kiutamaduni na uboreshaji wa elimu. Hiyo ni kwasababu Mdee Academy haikuwa imetangazwa kwa maintellectual wa jamii forum ambao mara moja wangeona thamani ya hiyo kazi na kusaidia kuitangaza kwa wadau, walimu, vijana na wanafunzi nchi nzima. Hii ndiyo link ya Mdee Academy
www.youtube.com
Tazama video za Mdee Aacademy usisahau kulike, kushare na kusubscribe. Tanzania ni yetu sote tuipiganie
Nini maoni yako kuhusu kazi inayofanya na Mdee Academy.
Mtayarishaji wa vipindi Mdee Academy anaitwa Robert Mdee namba zake za simu ni
0685967259 - Airtel
0655980538 - Tigo

Mdee Academy
This is Mdee Academy, a channel that brings quality education cheaply to all following the Tanzanian's based curriculum.