Nawashangaa hawa wanaodai wamefeli eti kwa sababu ni waislam,hivi kama ulikua unashinda madrasa utafaulu kweli?au ndo mnataka kutuletea udini hadi kwenye elimu tena ambayo haina mtaala?
Ndugu yangu umekurupuka kutoa mada eti "elimu na dini vitu tofauti"
vitabu vyote vya dini vinasisitiza watu watafute elimu.ambayo itamuwezesha mtu amkumbuke mungu wake.
hata hawa mafisadi wetu wangesoma kama dini zinavyotaka wangekuwa viongoz wazuri