jamani wana jf kumbe elimu ya tanzania kama tamthiliya ebu cheki
1/ongezeko la shule la kata=mitihani ya kuchagua ili wajae
2/uchache wa shule za advance=wanatibua tokeo la form 4 mpaka wanarudia kusahisha
3/ukosefu wa wawalimu=wanaipa priority education
4/wanachelewesha boom na kuongeza=next year ni ka uchaguzi
dah kuna mengi sana tusaidiane