kenzilly kemar
New Member
- Apr 12, 2019
- 1
- 0
Hata sidhani kama story itatosha kitabu, ila kiuhalisia mitandao ya kijamii na teknolojia kiujumla imebadilisha dira nzima ya Tanzania. Hivyo kupelekea tamaduni na mila halisi walizoacha kina babu zitolewe au kuharibiwa kabisa. ANALOGIA laiti tungeiboresha na mfumo mpya yq DIGITALI tungeweza kupata vizazi vilivyobora mbeleni.
Upvote
1