Walimu tunapata changamoto kweli kuhusiana na matumizi ya tehama mashuleni au tunazuiliwa kutumia tehama mashuleni na viongozi wetu hususani katika maandalio ya schem of work, lesson plan, teaching notice, log book n.k! yaan unakuta unasisitizwa uandike kila kitu kwa pen ya blue printed hawataki, sometime mwalim kuingia na kishikwambi darasan anazuiliwa. Wakati huo huo Serikali inahimiza matumizi ya Tehama, yaan kifupi hatuelewi