Elimu na uchawi

SOCIETY'S FOCUS

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
498
Reaction score
685
Wanaopata wazimu vyuo vikuu ni kuzidi kwa material kichwani au ni mikono ya watu, au pengine ni ufrimason wa bondi ya mikopo
 
Wahurumie tu mkuu,mtu kuchizika kuna factors nyingi zinachangia za ndani au nje ya mhusika mwenyewe either kulogwa,kuzidisha kusoma,maisha magumu,pigo la bodi ya mkopo,madawa ya kulevya n.k,wasaidiwe tu warudi kwenye hali zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…