Elimu na uelewa wa watangazaji wa clouds fm

Well said. Humu JF wengi wanajiona wana akili sana ila ukiwasoma utagundua ndio vi.laza.
...kweli kabisa, mtu anakuja kifua mbele kumkosoa mtu bila ya kujua kuwa kile kitu kinavyofanyika ndo ilitakiwa kifanyike hivyo
 

Asante umefafanua vizuri. Kupigiwa simu na Mtukufu siyo hoja. Mtukufu ni susceptible to mistakes, hivyo siyo standard ya kipimo
 
'Sijabahatika' kuangalia hicho kipindi ila nadhani yule Sasali ana bachela ya rasilimali watu....
Tatizo sio elimu, ni profeshnalizm. Mtu hajasomea utangazaji atapata wapi weledi?

Sure, unaona kuwa wana mapungufu makubwa ya utangazaji. Ni kama watu wa vijiweni wasio na taaluma yoyote
 
360 na kituo chote hamna kitu pale, wanapoteza mda mwingi wakisubili jamaa yao awapigie simu. Pale kuna program za ajabu utasikia kipepeo, Mara tegua mtego, mwingine anatembea na guta huku kavaa pensi.n.k
 
threads za majungu kama hizi hazina mashiko hata kidogo

CV ni muhimu kama unataka kuwa mtumishi wa umma, ingelikuwa ni domestic issues za chumbani kwake, no body will bother. As long as unatumikia umma tutataka kujua weledi wako hasa pale tunapokuwa na mashaka na what you deliver to the public
 
Mkuu kwa taarifa yako tatizo la watanzania wengi sio elimu ya vyeti. Hiyo wengi wanayo...tena ya kukaririshwa na kupata excellent certificates/papers.

Upungufu mkubwa kwa hao wasomi wetu wengi wa vyeti uko kwenye professionalism, analytical skills, articulation na soft skills nyingine muhimu.
 

Hapa siyo pembeni, ni social media accessible to anybody
 
Wewe ndo utakuwa Na IQ ndogo, maana wale jamaa wanatumia sarcasm, kulingana Na issue wanayotaka kui address, so kuwaelewa Ni lazma uwe complete upstairs.

Binafsi mi huwa nawaelewa vizuri

Uko sawa, you are the right audience I am talking about
 
mkuu mi nahic pale elim c kigezo saana.... na kuna uwezekano mamlaka ya udhibiti kwenye tasnia ya habari wamelala katika hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…