Elimu na Ujasiriamali wa ki-electronics jiajiri sasa

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,637
Wanajamvi habari!

Kwa niaba ya Kampuni yangu ya Mwangili Electronics Solution(MES), tutaendesha mafunzo ya muda mfupi ya kielectronics. Mafunzo haya ni kwa ajiri ya Wataalamu na wale wote wapenzi wa electronics.Tutakuwa na workshop seminar maalumu,kwa ajili ya wataalamu wa electronics hasa wale wanao jihusisha na uundaji wa vifaa mbalimbali vya kielectronics.

Seminer hii itagawanyika katika makundi makuu mawili,

A. KUNDI LA WALE WANAOTAKA KUJIFUNZA UJASIRIAMALI WA KIELECTROICS
Kundi hili litahusisha watu wote hasa wasio na utaalamu wa kuuda vifaa vya kielectronics, ingawa wanatamani kuwa wataalamu wa uudaji wa vifaa hivyo.

Lengo hasa la semina hii ni kutaka kufundisha namna ya kuunda vitu mbalimbali ambavyo vitawasaidia kujipatia kipato pale watakapo viuza. Hii itasaidia baadhi ya vijana kujiajiri, na kujipatia kipato kutokana na vitu watakavyo vitengeneza.

Kwakuwa ujasiriamali huu ni wa kitaalamu na unahusisha umeme na vifaa vyake, wanachama wa kundi hili watafanya semina hii kwa wiki moja (itakapo bidi muda utaongezwa) ili waweze kujifunza, kanuni na sheria mbalimbali za umeme,na mwisho wa mafunzo haya watapewa vyeti vya utambulisho.

Mafunzo ya kundi hili yatajikita katika fani zituatazo,

1. Uundaji wa Modified Sine Wave Inverter (MSWI).

Wanachama watajifunza kuunda MSW-Inverter ingawa pia watafundishwa tu kwa nadharia aina ya Square Wave Inveter(SWI),lakini hawataiunda aina hii,wataunda tu aina ya MSW-inverter kwani ndio nzuri zaidi ya SW-Inveter

2. Uundaji wa Power Amplifier (with equalizer)

(i) Stand alone power amplifier
(ii) subwoofer power amplifier

3. Housing design(for amplifier and inverter)

4. Speaker box design na Usukaji wa Speaker za aina tofauti tofauti.

5. Uundaji wa TIMER za kielectronics za fridge na Freezer

6. Uundaji wa Automatic Stabilizer.

7. Uundaji wa Chaji za simu kwa kutumia upepo,baiskeli au betri ndogo mo ja ya AAA.(kwa maeneo ya kijijini).

B. KUNDI LA WATAALAMU WA ELECTRONICS WATAKAO HITAJI KUONGEZA ELIMU YAO YA UBUNIFU.

Wanachama wa kundi hili watafanya seminar yao kwa siku mbili tu.Elimu ya mambo yafuatayo itatolewa.

1. UUndaji wa transformless inverter(Inverter zisizo tumia transformer,na michoro yake itatolewa)

2. Uundaji wa DC to DC converter kuanzia volt 12V DC hadi 200v DC (Michoro itatolewa)

3. UUndaji wa booster za mziki wa magari(Michoro yake itatolewa)

4. Uundaji wa security system(Mobile phone,RF,Infrared)

5. Usukaji wa Automatic Power Booster,kwa ajiri ya kuendesha vitu vizito kama vile Motor za visima vya maji maeneo ambayo umeme unashuka chini ya 90v(Low voltage areas)

MAFUNZO HAYA YATAFAYIKA DAR ES SALAAM KWA AWAMU MBILI,

Tarehe 23-29 JUNE 2014 Kwa kundi la kwanza.

Tarehe 5-6 JULY Kwa kundi la pili.

ADA YA KUHUDHURIA MAFUNZO HAYA NA UTARATIBU MZIMA NA SEHEMU YATAKAPO FANYIKA MAFUNZO HAYA MTATAJIWA KUPITIA NAMBA ZENU ZA SIMU.

ADAYA MAFUNZO ITALIPWA SIKU HIYO HIYO YA KUANZA MAFUZO,USITUME KWA MTU YEYOTE KWA NJIA YEYOTE!

Kwa watakao hitaji kuhudhuria mafunzo haya wawasiliane na mimi 0657-115587 au Kwa email datetz18@yahoo.com, Tuma jina na nambayako ya simu.

Kama una ndugu au jamaa ambae hana utaalamu wowote hii ni nafasi ya pekee kupata kile kitakacho msaidia mpe habari hii!
People are just asking about the fees of membership;Just to be roughly it wont be more than Tsh 30000 per person.Thank you!
 
People are just asking about the fees of membership;Just to be roughly it wont be more than Tsh 30000 per person.Thank you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…