SoC02 Elimu ndani ya Jamii

SoC02 Elimu ndani ya Jamii

Stories of Change - 2022 Competition

Mathayoswai

New Member
Joined
Jul 27, 2022
Posts
1
Reaction score
0
ELIMU NDANI YA JAMII

-Elimu nini?
-jamii nini?
-faida ya elimu katika jamii nini?
-Aina ya elimu na inamahusiano gani ndani ya jamii?

Hivi ndio vitu ambavyo tutavizingatia ndani ya andiko hili la Elimu.

Elimu ni ni kitendo cha kupata au kujifunza maarifa juu ya jambo usilolifahamu na kuweza kulijua kwa undani zaidi.

—Jamii ni jumla ya watu wanokuzunguka katiaka mazingira yako unayoishi ikiwemo familia yako ndugu na marafiki.

Elimu ina mahusiano gani katika jamii? Elimu na jamii ni vitu vinavyoshirikia na kwa karibu zaidi kuliko vitu vyote, jamii inakuwa na uhitaji wa elimu katika sekta nyingi
• Elimu
• Afya
• Mazingira.

Na vingi zaidi ya hivyo jamii inahitaji wasomi katika sekta muhimu sana zinazotuzunguka

- Elimu - Jamii inahitaji shule na walimu wa kuwafundisha watoto wao na kuweza kupata maarifa.

- Afya mahospitali yanahitaji madaktari wa kuweza kuitibia jamii inayotuzunguka ili kuhakikisha tunakuwa salama ili tuweze kufanya kazi za maendeleo na kuweza kuijenga nchi yetu pendwa Tanzania 🇹🇿

- Mazingira yanahitaji watu wa kutoa eliye juu ya utunzaji wa mazingira ili kuweza kuziweka afya zetu salama na kuweza kulijenga taifa letu pendwa 🇹🇿

Elimu imekuwa kama nguzo kubwa katika jamii yetu ya kuweza kujikwamua na wimbi la umasikini. Wazazi wamekuwa wakiwasomesha watoto wao ili waweze kuwasaidia baadae katika maisha. Tunaona ni kwa jinsi gani jamii inahitaji Elimu ili kuweza kujiongeza katika kipato na kujikwamua kimaisha

Kuna sehemu nyingi sana ambazo jamii inahitaji ili kupata elimu .
•Mashuleni.
•Nyumba za ibada.
•na katiaka jamii.

- Shuleni ni sehemu pekee inayotoa elimu ambayo inatujenga kifikra kiakili pia na kupata jamii

1659008116206.png

Tunaona ni kwa jinsi gani mwalimu anatoa maarifa kwa wanafunzi ambao tutawategemea kuwaona sehemu mbali mbali za jamii zetu wakija kuwasaidia wadogo zao pia na jamii inayotuzunguaka kwa ujumla.
Haitoshi kusema kuwa elimu ni ajira

- Natamani kuona jamii ikibadilika na kuona shule kama sehemu ambayo ni sehemu ya kutoa maarifa na kuacha dhana ya kuwa mtoto asome ili apate ajira, tukifanya hivyo tutakuwa tumetoa ukilema ndani ya vichwa vya jamii kuwa ajira haitokani na elimu tu bali elimu ni njia mojawapo ya ajira na maarifa na kuweza kuzipa nafasi ajira nyingine katika maisha ziweze kuwakwamua vijana wetu ikiwemo
-sanaa
-kilimo
-uwekezaji
-na Michezo

-Nyumba za ibada pia zinatoa elimu jinsi ya kuwa wema nakutenda yale yanayompendeza Mungu

1659008116857.png


Hiii ni elimu inayotolewa kwa wakubwa na wadogo wazee na vijana Wababa na wamama bila kubagua kwa pamoja na inafundisha jinsi ya kuwa mwema na kuweza kuishi katika jamii kwa upendo na ushirikano

• Jamii inahitaji ushirikiano sana katika mambo mengi yakiwemo kulea vijana wetu
Kuna mambo ambayo yasiyofanywa kwa ushirikiano katika jamii hutokea mambo yasiyofaa

ATHARI ZA KUTOSHIRIKIANA KATIKA JAMII

- Malezi yasiyofaa katika jamii
• Ongezeko la vijana wavyuta dawa za kulevya
1659008117281.png

Haya yamekuwa yakisababisha matahira mengi katika jamii zetu

-moja ya athari ni
• Kufa kwa nguvu kazi katika jamii
• Kuongezeka kwa tegemezi katiak jamii
• Ongezeko la magonjwa katika jamii
• Kuwana ongezeko la uvunjivu waamani katiaka jamii

-Jamii inahitaji kushirikiana katika sehemu za huzuni na furaha

Tunaona jamii ikishirikana katika matukio mbalimbali kama misiba pia na sherehe

Maisha yetu yanahitaji kufanyiwa mambo mazuri ambayo yatanufaika katika elimu yetu

Nini kifanyike katika jamii ili kuweza kuwa na usawa katika elimu

Elimu itolewe bila kuwa na ubaguzi wasichana na wavulana wawe sawa katika kulijenga taifa letu na Afrika kwa pamoja


Imeandikwa na kuandaliwa na
ANANKIRA MATHAYO SWAI
NAMBA YA SIMU 0789437160
 
Upvote 1
Back
Top Bottom