SoC04 Elimu ndani ya kazi

SoC04 Elimu ndani ya kazi

Tanzania Tuitakayo competition threads

Aikasia James

Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
5
Reaction score
1
Tunajua kwamba elimu ni kitu ambayo tunaenda kuongeza maarifa na kufungua akili zetu.Pale ambapo akili za kawaida zinaishia ukiongezea na za elimu basi tunaweza kuvuka kona nyingine.Lakini elimu kazi ni kama vile kwenye kutoa mafunzo shuleni.

Kuna baadhi ya shule watoa elimu za kisanaa kama kushona,upambaji,upikali wa chkula na vitu kadra na kadra .Lakini elimu ya uselemala unasaidia kupunguza hata bajeti ya kuweza kununua madawati shuleni.Bali wanafunzi wakifundishwa ubunifu huo basi tatizo hilo mashuleni litaisha.

Kama vipindi vingine darasani na hilo pia linabidi kuwa na kipindi cha utendaji. Na kila wanachotengeneza ndicho watakacho weza kukalia madarasani na pia hata viyanda mabwenini.Cha kwanza watoto watapata ubunifu wakujiendeleza hata wakimaliza shule na serikali pia watapunguza matumizi ya hela kwa ajili ya madawati ,viti ,meza,vitanda mashuleni hii ni kuuwa ndege wawili kwa jiwe moja.Na si kitu ambacho si cha mwaka mmoja bali miaka mingi mbele.

Tukiwajengea watoto uweze wa kufanya kazi wakiwa wadogo basi itakuwa msaada kwao katika harakati za maisha.
 
Upvote 1
Back
Top Bottom