Elimu ndio moyo wa taifa

maswimanga

Senior Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
159
Reaction score
26
Watanzania tucheze na vitu vingine ila tusicheze na elimu ya watoto wetu tukidhani tutabaki salama kwa umoja wetu.si jambo rahisi Taifa lolote duniani kuifanya elimu kuwa sehemu ya biashara likadhani kuwa litapiga hatua yoyote ya kimaendeleo ,zaidi ya kuzalisha kizazi cha kutenda bila kufikri na kuishia kujilaumu wenyewe kwa yote wayatendayo bila tija yoyote kwa maslahi Taifa la leo na kesho.
 
Ni kweli lakini si kwa serikali yako ya magamba chini ya AMIMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…