Elimu ndogo: Gari kuchemsha

KIMOMWEMOTORS

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2018
Posts
358
Reaction score
675
SABABU ZA GARI KUCHEMSHA

1. Kuvuja kwa mfumo wa upoozaji
2. Kuziba kwa njia za rejeta
3. Kiwango kidogo cha Oil
4. Tatizo la pampu ya maji
5. Tatizo katika feni za kupoozea injini

ISHARA ZA TATIZO

1. Mshare wa joto kupanda zaidi ya nusu
2. Moshi au mvuke utokao chini ya gari yako
3. Hewa yenye joto kutoka kwenye njia za AC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…