RayB
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 2,751
- 200
Wadau sikuamni pale niliposoma eti kigezo cha kuwa mgombea wa uenyekiti wa Simba awe walau na elimu ya kidato cha nne. Duh mbona ni ya chini sana? Lakini hata hiyo wapo wengine hawakufikia kigezo hicho na walikuwepo katika uongozi kila siku hivi huwa wanaongozaje hawa? Inakuwaje kunapokuwa na midahalo na nchi za nje? Raia wa kigeni kama kocha? Hwebu cheki hii
DALALI OUT SIMBA

Mwenyekiti wa Simba Hassan Dalali leo ameenguliwa rasmi katika orodha ya wagombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Simba katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika baade mwezi ujao.
Dadali alienguliwa leo wakati Kamati ya Uchaguzi ya Simba kuketi leo katika ofisi za TFF Ilala Dar es Salaam na kupitia na kuwahoji wagombea mmoja baada ya mwingine.
Kwamujibu wa taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Damas Ndumbaro amesema Dalalai hakutimiza vigezo vya kugombea uongozi Simba ambapo Mgombea anatakiwa walau awe na elimu ya Kidato cha nne.
Pamoja na Dalali Mwingine aliyekubwa na tatizo hilo ni na kuenguliwa ni Mohamed Nyalali.
Hivyo sasa nafasi ya Uenyekiti wa Simba Ismail Rage, Hanspope Zacharia, Michael Wambura, Hassan Hassano na Andrew Pupa
KWELI TUTAFIKA?