Elimu ni idara ambayo kila mtu anajua kutoa mawazo yake tofauti na wizara zingine

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Elimu yetu imekua chini maana tumeshindwa kuwapa wataalamu wakaipika idara hii,mtaani mashabiki wamekua wengi na kila mtu ni mtaalamu wa elimu,mbona haziingiliwi Idara zingine kama police.Wanafunzi wakifeli kila mtu ana majibu hapa,hebu tuwaache wataalamu wapike mambo.
 
Na hao wataalamu wanapika vizuri wastani umeshushwa hadi ishirini wakati wananchi wakihadaiwa ni 30
 
Back
Top Bottom