Elimu yetu imekua chini maana tumeshindwa kuwapa wataalamu wakaipika idara hii,mtaani mashabiki wamekua wengi na kila mtu ni mtaalamu wa elimu,mbona haziingiliwi Idara zingine kama police.Wanafunzi wakifeli kila mtu ana majibu hapa,hebu tuwaache wataalamu wapike mambo.