J juniormuk Member Joined Aug 12, 2012 Posts 18 Reaction score 3 Jun 13, 2013 #1 Waziri wa fedha kasema elimu ni kipaombele cha sita,je elimu ikiendelea kushauka ni nani wa kulaumiwa? Nashauri wananchi wailaumu serikali na si walimu. Poleni watanzania.
Waziri wa fedha kasema elimu ni kipaombele cha sita,je elimu ikiendelea kushauka ni nani wa kulaumiwa? Nashauri wananchi wailaumu serikali na si walimu. Poleni watanzania.
K Kiumbo JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 560 Reaction score 123 Jun 13, 2013 #2 Tena kipaumbele cha sita ndani ya huduma za jamii. Watastandardize
The Planner JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 357 Reaction score 118 Jun 13, 2013 #3 Kipaumbele (1) Maji-Bajeti yake unaweza kulia! Hii ndo Tanzania