Juma jaibu kuhanga
New Member
- May 18, 2024
- 4
- 5
Elimu ni ufunguo wa maisha kama walivyosema wadau wa kale katika harakati za kuboresha na kushawishi upatikanaji wa maarifa na ujizi kwa njia ya shule.
wazee wetu walipoambiwa elimu ni bora hawakusita waliuza hadi mashamba ili na sisi wanao tuweze angalau hata kuonja elimu bora iliyo na mfumo maalam wa utoaji wake ili kuhakikisha watoto wote wanapata elimu.
Serikali nayo ikachukua jukumu kubwa na kujinadi kwa lugha ya ulumbi kushawishi elimu bora na urushaji wa matangazo katika vyombo vya habari kama vile redio na magazeti kabla ya uwepo wa runinga na mitandao ya kijamii.
Hata hivyo wanawake wakatiwa nguvu ili waweze kupata elimu bora.Suala la Elimu bora ili liweze kuwa bora katika jamii ya sasa na badae hatuna budi kushikilia mambo kadhaa muhimu kama ifuatavyo;
Wanafunzi katika shule za sekondari waweza kulipa gharama zote iwapo watasimamishwa masomo kwa makosa ya kinidhamu au ujauzito. Ili kujua thamani ya elimu bure ni vyema wizara ikatoa mikataba ya makubaliano ya wazi ambayo itasimamiwa na wanasheria wanaotambulika na Serikali inayomtaka mwanafunzi wa sekondari aweze kumaliza elimu yake yote bila kuishia njiani,endapo mwanafunzi atakutwa na hatia ya kuacha masomo kwa makosa ya kinidhamu au ujauzito itampasa kulipia gharama ambazo serikali waliweza kumsomesha hadi alipoishia bila kujali ushawishi wowote.
Suala hili litalia makazo na kuhamasisha usomaji wa kulinda maadili na tamaduni zatu kwa kuzalisha vijana madhubuti na wenye utii katika jamii kwani sasa serikali inapoteza wanafunzi wengi sana na kuitiia hasara serikali.Hivyo basi iwapo mwanafunzi atashindwa kulipa iyo gharama hana budi kwenda jela sio kufungwa hapana balikwenda kufanya kazi ili aweze kujilipia deni lake la kuacha shule.
Mwanafunzi akipata ujauzito mshatakiwa wa kwanza awe yeye mwenyewe. Suala la watoto wa kike kupata ujauzito na mwanaume kupelekwa jela ndio suala linalo hamasisha watoto wa kike kujiamini kuendelea kufanya mapenzi wakiwa bado wanafunzi bila kuchukua tahadhari pia kujivunia hata wakipata ujauzito hawana shida wa tatizo linaloweza kuwakumba ukiachana na suala la kuacha tu shule na mikono ya sheria itamkumbatia tu mwanaume. Ni vigumu kuamini binti wa sekondari anashindwa kujisimamia mwenyewe licha ya kupewa elimu ya uzazi shuleni na nyumbani.
Suala la sheria kuwatazama wanafunzi wa kike kwa jicho la mtumiwa wa kwanza katika suala la ujauzito litaweza kuzuia mimba kwa kiasi kikubwa na kuzuia masuluhisho ya kienyeji yanayofanywa na wazazi wa pande mbili binti anaposhika ujauzito. Licha ya jamii kuamini kuwa mwanafunzi ni mtoto hana mapenzi bali tu mihemko ya kihisia ndiyo inayopelekea kujihusisha na mapenzi katika umri mdogo.
Elimu pia izangatie uelimishaji katika kuweka usawa wa kijinsia. Tukirejelea katika nadharia ya ufaministi katika mkabala wa kimarx unajikita na kuonyesha mwanamke na dhaifu kwa kuwa yeye ni mwanamke na pia unashauri ili mwanamke haweze kushinda vita ya kuonekana ni dhaifu ni lazima apigane na saikolojia ya udhaifu wa mwanamke ambayo juku hilo amepewa mwenyewe.
Hivyo ni vyema elimu ijikite katika kuwapa chachu wanawake katika harakati za kujiona wako sawa na shule ndio sehemu pekee inayoweza kubebeshwa jukumuu hili liliojika katika ujumi wa kiafrika kwa kuacha itikadi za jamii zinazowabeza wanawake. Pia wanafunzi wa kiume wapewe kipaumbele katika matokeo ya elimu hii licha ya iwepo wa vikwazo kwa jamii ambavyo vinaikandamiza ukombazi wa jamii katika ukombozi wake.
Pia suala la uchukuaji wa mahudhurio kwa wanafunzi na walimu utumie njia ya kidigitali yaani mfumo wa alama za vidole ambazo zinaenda moja kwa moja katika ngazi ya juu. Hii itasaidia wizara ya elimu kujua takwimu ya mahudhurio katika shule husika. vilevile itapelekea kupunguza utoro wa walimu kwa kiasi kikubwa na kuwapelekea waweze kuwahi katika vituo vyao vya kazi na kusimamia shughuri zingine za kimaendeleo kwa wakati sahihi na kuchehea kupungua kwa changamoto za utoro kwa walimu.
Watu wa wenye taaluma za usamamizi wa sera elemu wawekwe angalau kila kata ili waweze kusimamia utekelezaji wa sera za elimu kama zinatekelezwa itakavyo na kuacha kuwapa jukumu hili Taasisi ya udhibiti ubora wa elimu.
Wataalamu hawa wapewe jukumu la kusimamia na kuangalia maudhui yanayotegemewa kufanyiwa kazi katika sera za elimu zinafuatwa kwa kuzingatia ubora ulioelekezwa na watu haom.
Pia suala hili litapelekea kutimia kwa malengo waliyokusudia na wizara ya elimu kwa kufuatia matamko, maboresho yanavyotoka.
Hivyo basi wataalam hawa watasaidia kuelekeza na kutoa elimu ya mara kwa mara kwa shule husika na kuepuka ile chagamoto ya hadi waje watu wa ukaguzo ndipo wapate elimu.
Pia suala la upangaji wa wanafunzi kwenda kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya kati ni vyema vifanywe na mwanafunzi mwenyewe yaani mwanafunzi anaweza kuchagua shule anayoitaka kulingana na ufaulu wake.
Mfano mwanafunzi anaweza kuwekewa shule angalau kumi ambazo zitakuwa kwenye akaunti yake na mwanafunzi anachagua shule tatu na iwapo atachaguliwa shule zaidi ya moja mwanafunzi awe na uwezo wa kuthibitisha shule moja wapo zoezi hili liendane na tahasusi husika. Kwa ufupi iwe kama wanafunzi wa elimu ya juu wanavyochagua chuo na kozi anayoitaka.
Suala hili litaweza kuondoa changamoto ya wanafunzu kupangiwa Tahasusi wanazozitaka
Mwisho Suala la elimu ni muhimu kuwa nalo makini kwani ni sawa na kushika wembe tusipo kuwa makini lazima utatukata.

Upvote
2