hauleibrahim
Senior Member
- May 17, 2024
- 183
- 125
Elimu ni taa ya nchi na wananchi wenyewe.
Elimu ikipatikana Kwa ufasaha Kwa mlaji wa mwisho inachochea watu kuzipenda na kuihitaji katika maisha yao.elimu Kwa baadhi ya wazee wetu walio pata kazi serikalini bila kuwa na elimu kubwa nao waliona hilo Kwa kupishana na fulsa nyingi na kubwa ndio maana baadhi ya wazazi wa miaka flani hawakuw wanataka utani na mtoto asie taka shule.shule ilikuwa kama n jambo lisilo la hiari Kwa mtoto wao utake usitake shule utaenda na utasoma.kwa mantiki hiyo shule Ina umuhimu Kwa mtu kujitambua yeye na kuweza kumsaidia aweze kujimudu.
elimu kupiga hatua na kusonga kufika kuwa ya kimataifa inawezekana kama nchi ikiamua kufanya mambo baadhi kati ya mengi yafuatayo.
1.kuwepo na walimu wenye utayari wa kuifanya kazi yao bila kukimbilia kuwa walimu wa mishahara au walimu Bora liende mwalimu atoe taaluma kumpa mtoto Kwa uwezo wake wote.
2.majengo na kisomea yawe rafiki unajua mazingira yakiwa rafiki mwalimu hatochukia eneo la kazi na mwanafunzi hatochukia kwenda eneo lake la kujifunzia taaluma yake shule iwe imekamilika yenye mazingira ya kumfanya mwanafunzi apate utulivu na mwalimu apate utulivu wa kumfundisha mwanafunzi.
3.mishahara iwe minono mwalimu anapopewa mshahara mzuri wa kukidhi mambo yake madogo madogo ya nyumbani pia anakuwa na hamasa na kazi yake tofauti kama na akiwa na pesa ya mshahara ndogo inampa wkati mgumu kujiweza mambo yake madogo madogo y kujitunza na kuwatunza wanao mtazama.
4.vifaa mashuleni viwepo vya kutosha hasa Kwa wanafunzi Kawa wale wa masomo ya sayansi vifaa vyote viwepo ili mwalimu asiwe na kikwazo Cha kufundisha Kwa kutumia nguvu kubwa bila vifaa.vikiwepo vifaa hata wanafunzi wa sayansi watapata hamasa ya udaktari zaidi sababu anapata kujifunza Kwa vitendo kupitia mwalimu mwenye utayari pia wa kutoa matilio yenye manufaa ni vizuri vifaa vikaendana na teknolojia ya sayansi sio unaleta kifaaa Cha mwaka 2000 wkati Dunia Ina vifaa vya 2021 huko ulimwengu sayansi iwende Kwa vitendo kweli kweli sio nadharia bila vitendo.
5.utoaji chakula.chakula kama kitatolewa Kwa ngazi hata za juu itakuwa vizuri tutampa matilio mwanafunzi Alie Shiba kimwili na atashiba kiakili Kwa sababu mwili utakuwa na utulivu wa kupokea matilio na kuyachakata kichwani na kuyahifadhi ila njaa ikiendelea kuwepo mashuleni hata huku secondary pia mtindo wa usomaji na uelewaji utakuwa bado mdogo Kwa wanafunzi wengi.
5.mifumo ya mitihani ya taifa nayo ibadilishwe mifumo ya ufanyaji tusiwe na mfumo wa mitihani mitatu au miwili ndani ya siku moja ni vizuri tukampima mwanafunzi mtihani mmoja mmoja Kwa kila siku ili akifeli tujue tatizo ni yeye sio mwalimu badala ya huu mfumo uliopo sasa hasa nikizungumzia mitihani ya taifa.
Unakuta unatoka kwenye chumba cha mtihani mtihani wa kwanza umekuumiza kichwa hujapumzika vizuri na kujiweka vizuri kichwa.unakuwa unawaza mtihani wa pili ambao nao unatakiwa kupitia kidogo matilio ili ukaufanye matokeo yake wengi wanafeli kumbe sababu ziko nje ya uwezo wao.tofauti na mtihani ukiwa mmoja Kwa siku hapo mwanafunzi Alie andaliwa vizuri hawezi kuwa na visababu vya kufeli.
Kuipata elimu Bora inawezekana kama tutawekeza kweny vitu vhivyo Kwa ufasaha haswa.

Upvote
0