Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

PM huyu huyu muongo mwaminifu wa taifa?
 
Sahihi, sio wote. Ila wengi wao kuna mambo yalishatengenezwa na wazazi wao.. Sio wakumaliza na kuanza kusambaza bahasha “kwa kubahatisha”.
Na wengi hawatafuti kazi,wapo tu home party daily ,wakiomba mtaji home kibanda cha pizza ,pombe Kali,clothing line ,,wengi hawapendi shule japo kichwani smart ,hao ambao mnasema wapo kwenye taasisi kubwa haizidi 3% ya graduates wa international schools... Na ni ambao wamewekeza akili na muda kwenye masomo..
 
Kila mtoto anaesoma Braeburn ni mtoto wa kishua haswa pengine huyo Diamond ndo miongoni mwa maskini hapo kwahiyo kila mtoto hapo ni hela lakini jiulize kwanini hawaendi kuteka
Suala la ulinzi limezingatiwa labda akatekwe akiwa mikononi kwa babaake
Duh kwahiyo siwezi kwenda kuuza kachori na bagia hapo?
 
Kwamba akina James Delicious walisoma international?
 
Okay, good to know this.
 
Wewe jamaa bhana! Yaani kelele zote kisa $8385
 
Kwenda huko na vimisemo vyenu vya kujifariji, kapate hela chafu kwanza isiyo na mawazo ndo uje useme haya maneno wakati una option ya kuwapeleka watoto huko ila HAUJAAMUA.
Otherwise umasikini sio sifa.
Usichokijua wew mpumbavu unacholingia hapo ni pumzi ya uhai inayotoka kwa MUNGU, wala sio pesa. Ni hiyo pumzi ndio inayokufanya uniquote kwa kuandika ujinga, kaa ukijua hakuna mwenye uwezo wa kulipia thamani hiyo ya uhai bila Kuishi kwa kumpendeza MUNGU.

Maana siku ya mwisho hutaukumiwa kwa utajiri,umaskini,rangi ya ngozi yako n.k, bali utahukumiwa kwa matendo yako tu, na usichokijua haya maisha niya mda mfupi sana.
 
Nenda jukwaa la mahubiri mbwa wewe
 
Usisahau huku ndo kule anafundisha familia ni aina tatu, baba na mama na mtoto, baba na mtoto, mama na mtoto, baba na baba, na mama na mama... Alafu useme ushoga hauruhusiwiii hapo? 😁😁😁
 
Nasikia hawa hata mbinguni wana sehemu zao special.
 
Umefanya makosa kutaja shule anayosoma mtoto wa Diamond. Watu wenye nia mbaya wanaweza kum kidnap na kumtaka ransom kuutoka kwa wazazi wake. Naamini hata Braeburn School wakiona hii thread hawatapendezwa
Akili mgando. Km hawataki kuwa expose Kwann walipost kuvaa sare na nyuma kunajengo la shule…
Shida watz ni wajuaji sn, akili zimeliwa n mchwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…