Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

Mkuu hebu rudia kusoma ulichoandika. Waliosoma shule kama hizi hawahitaji kuwa viongozi. Wao wanaongoza viongozi. Wanakuweka madarakani. Mtandao wao ni mrefu sana. They’re the power behind the throne.

Ulishasikia state capture huko South Africa?

Ulishamsikia mwamba anaitwa Rostam Aziz? Huyu bwana ndo jamii hizo. By the way RA alisoma LSE..ushawahi isikia hiyo chuo? Hao ndo wakihitaji kukuweka madarakani, they will.

Africa and Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ in particular..wananchi hatuweki mtu madarakani. Tunatimiza wajibu tuu wa kupanga foleni na kupiga kura. Basi.
 
Umeeleza vizuri sana Kiongozi.

Elimu Kama hizi zinakupa confidence ya ajabu aisee. Bila confidence dunia ya leo hutoboi.
 
Sasa wema sepetu kakwamaje na kapita huko, hawezi kosa connections
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…