elimu,nidhamu,uungwana,kucheka ,vituko,mafundisho

Mgazini

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
293
Reaction score
39
nimevutika sana na mambo ambayo Jf members mnafanya humu ndani,ili kuthibitisha hilo sasa nimeamua kujiunga rasmi na WANA JF,MNIPOKEEE JAMANI
 
Karibu sana JF....:behindsofa:

nimevutika sana na mambo ambayo Jf members mnafanya humu ndani,ili kuthibitisha hilo sasa nimeamua kujiunga rasmi na WANA JF,MNIPOKEEE JAMANI
 
Mgazini karibu!
Wachina wana msemo, "Ukiona watu wawili ambao wanakubaliana katika kila jambo ..ujue kuna mmoja ambaye hafikiri."

Kwa hiyo, usivunjike moyo ukikosolewa..hiyo inaonyesha kwamba hatuwezi kuwa na mawazo yanayofanana.
Karibu Mgazini..:becky:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…