elimu please....

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
2,469
Reaction score
284
nilisikia mahala flani kuna wa-binti wanaitwa "call girls"...!
naombeni elimu kuhusu hili tasavali!!:frown:
 
escort hizo...

Jamani hebu fanyeni some research on the net, si lazima kila kitu mlete hapa. Huo ni uvivu ndugu.
 
kwani hapa sio net?, kwani kuna shida gani mtu kupata jibu kutoka kwa wanajamvi wenzake ambao labda watampa jibu through experience, na kumpa recommendation....... ? Nadhani this is as good place as any to get any information, probably even better.
 
:A S crown-1: :A S crown-1: :A S crown-1:
 
kwani hapa sio net?, kwani kuna shida gani mtu kupata jibu kutoka kwa wanajamvi wenzake ambao labda watampa jibu through experience, na kumpa recommendation....... ? Nadhani this is as good place as any to get any information, probably even better.

haswaaaaaa!!!
 
nilisikia mahala flani kuna watu wana "call girls"...!
naombeni elimu kuhusu hili tasavali!!:frown:

Hilo mbona ni jambo la kawaida sana kwa nchi nyingi duniani,lakini hujasema hapo mahala uliposikia wewe ni nchi gani ungekuwa specific ungepata msaada mkubwa,isijekuwa unaishi Afghanistan halafu unaulizia call girls,watu watakuelekeza wa kinondoni.
 
escort hizo...

Jamani hebu fanyeni some research on the net, si lazima kila kitu mlete hapa. Huo ni uvivu ndugu.
mkuu heshima mbele.... hivi maan ya jukwaa ka hili ni nini?
sijui na hapa nasoma gazeti au nipo mtandaoni!!:whoo::whoo:
 
Hilo mbona ni jambo la kawaida sana kwa nchi nyingi duniani,lakini hujasema hapo mahala uliposikia wewe ni nchi gani ungekuwa specific ungepata msaada mkubwa,isijekuwa unaishi Afghanistan halafu unaulizia call girls,watu watakuelekeza wa kinondoni.
Kaka paka.... ni Inji hii hii ya wadanganyika nilipo mie Mkeshahoi!!:redfaces:
 
kwani hapa sio net?, kwani kuna shida gani mtu kupata jibu kutoka kwa wanajamvi wenzake ambao labda watampa jibu through experience, na kumpa recommendation....... ? Nadhani this is as good place as any to get any information, probably even better.

I mean some online dictionary or wikipedia all are availble information. Kama anataka experience and stories, then the question should be re-phrased
 
Unajua there is nothing better kama kupata information Interactive... ambapo unapata jibu na unaweza kuuliza swali zaidi, penye wengi hapaharibiki neno...... nina uhakika kwenye hii topic akipata mtu hapa ambaye ameshakutana na hao (call girls) atapata information zaidi kuliko hizo source ulizotaja....
 
Ni wasichana wanaopigisha simu kwenye vibanda....😱
 
nimikoma....kama nilivokoma kunyonya...:sleep:

mmmhh asnte mkuu afadhali hata uniite " Wito Msichana"
servise zangu ni 24/7
sipokei keshi natembea na ATM machine yangu..
napokea visa, master card na America express....
nachaji kwa dakika ....
namba yangu ni 911...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…