Miongoni mwa waajiriwa wengi nchini ukifuatilia historia yake ya elimu atakwambia amesomea malisia,uingereza.Na ndio waliojaa maofisini lakini kwa wale wahitimu waliomaliza hapahapa nchini bado wapo mpaka leo wanatafuta ajira,ukiuliza kwanini atakwambia anavigezo sasa elimu yetu itatusaidia nini?
Kujiajiri kunategemea umesomea fani gani, hebu niambie mf. umesoma(social science courses) e.g sociology au political science nk, unajiajiri vp.Kwani ukisoma mpaka uajiriwe ndio ujue elimu imekusadia?Sisi Watanzania wenyewe ndio tuna "mindsets" mbovu na tumeharibiwa tangu tukiwa wadogo kwamba tunasoma ili tuajiriwe!Sasa inabidi tubadili haya mawazo kwa watoto wetu tutakaozaa!
Miongoni mwa waajiriwa wengi nchini ukifuatilia historia yake ya elimu atakwambia amesomea malisia,uingereza.Na ndio waliojaa maofisini lakini kwa wale wahitimu waliomaliza hapahapa nchini bado wapo mpaka leo wanatafuta ajira,ukiuliza kwanini atakwambia anavigezo sasa elimu yetu itatusaidia nini?
Kwani ukisoma mpaka uajiriwe ndio ujue elimu imekusadia?Sisi Watanzania wenyewe ndio tuna "mindsets" mbovu na tumeharibiwa tangu tukiwa wadogo kwamba tunasoma ili tuajiriwe!Sasa inabidi tubadili haya mawazo kwa watoto wetu tutakaozaa!